YANYA YAPANGIWA WAARABU SHIRIKISHO

Droo ya hatua ya mchujo kuwania kutinga makundi ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), inaendelea muda huu Cairo, Misri, ambapo Yanga itacheza na Club Africain ya nchini Tunisia. Yanga ameungukia kwenye michuano hiyo baada ya kuondoshwa na Al Hilal kwenye ligi ya mabingwa kwa jumla ya goli 2-1.